Search

13 results for Gaston Nunduma :

  1. Usilete saikolojia ya shuleni kwenye maisha

    Hivi karibuni niliona klipu ya kifaranga kikipigana na jogoo. Haikuwa ya kutengenezwa kwa maana ya vikaragosi, bali ni kweli mpita njia alikutana na tukio hilo akaamua kulichukua kwa kamera ya...

  2. Waigizaji msiigize namna ya kuishi

    Maisha si mazoezi wala majaribio. Ni jukumu kamili ulilolipokea na unaloendelea nalo. Hadithi ya “Naenda kutafuta maisha” sio ya kweli kwa sababu babu yako uliyemwacha kijijini naye anaishi, na...

  3. Umaarufu wa choo ni harufu

    Imani ni uhakika wa mambo yaliyokuwepo hata kama hutayathibitisha. Unaweza kusikia na kuamini jambo bila hata kuliona. Unalitafakari na kuhakikisha kuwa jambo hilo ni la kweli. Yupo anayeamini...

  4. Vyungu vinasogea na swaumu inaachia

    Mambo si mabaya maana naona vyungu vinasogea na swaumu inaachia mdogomdogo. Mwaka huu tena kama miaka mingi tu iliyotangulia, mifungo miwili mikuu Ramadhani na Kwaresima imeumana. Usishangae...

  5. Madogo wa IT jiongezeni muokote maokoto

    Kila jambo lina wakati wake. Suleiman alisema kuna wakati wa kuokota mawe na wakati wa kutupa mawe.

  6. Mtu chake apendacho hakina ila machoni

    Kwa wakati mgumu wa maombolezo baada ya kumpoteza mhafidhina wa Kiswahili, Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi. Kwa jinsi ninavyozielewa jitihada zake kuienzi lugha yetu...

  7. Uzalendo si muujiza, ni uwekezaji

    Kwanza tupeane pole kwa kumpoteza aliyekuwa kiongozi wetu mahiri, Waziri Mkuu mstaafu bwana Lowassa. Ukiachilia mbali kashfa zilizompelekea kujiuzulu uongozi wake wa juu, tusherehekee maendeleo...

  8. Uzee ukizidi unageuka utoto

    Inasemekana mtu akishakula chumvi nyingi anarudi kwenye utoto. Wataalamu wanasema wazee hukumbuka mambo ya utotoni kuliko ya ujanani. Utotoni (na mimi nahisi kuzeeka) tulikuwa na kitendawili...

  9. Mapenzi longolongo yalizaliwa Pwani

    Kuna usemi maarufu wa ‘fundi mkweli ni kinyozi pekee’. Watu walifanya utafiti kwa mafundi wa aina zote, wakagundua zaidi ya kinyozi hakuna mkweli.

  10. Tuwatumie wasanii kupanda miti

    “Tutaangalia tufanye nini sasa ili mazingira yetu yajayo yawe bora zaidi, ni namna gani tuishi, hatua gani tuchukue kuhakikisha kila mmoja anatoa mchango katika hili”.

Page 1 of 2

Next